Thursday, October 13, 2016

UKIWA KONGO USI JIUGUZE

 Na Cheupe Nyati   in Prague             

Katika mazungumzo na watu ambao wametembea hasa katika mipaka ya nchi za maziwa makuu.
Nchi ambayo inaogopwa sana ni Kongo. Kongo hakuna wizi, kongo hakuna utapeli, kongo  kuna mambo mengi sana.