TABORA NA MAJINA YA WATOTO.
Na Fredy
Tabora ni mahali
ambapo watu wake wanapenda kutunza kumbu kumbu zao kwa namna nyingi sana.
Lakini, ukikaa na ukisikiliza majina waliyokuwa wanapewa watoto,
waweza kufahamu watoto hao walizaliwa katika hali gani au walizaliwa wakati
gani.
Wanyamwezi wanasifika kuwa ni watu wa safari sana,
na safari zao walikuwa hawakosi kubeba mizigo… na ndio mara nyingi
utasikia watu wakisema, hata wale ambao
si watani wao, "Mzigo mzito mpe Mnyamwezi".
Kwa safari zao nyingi, hawa
watu waliweza kujifunza mambo mengi hata mambo ya tiba kwa sababu wanapita katika nyika ambazo zina
miti mbalimbali na wanakutana na watu mbalimbali na wanapozungumza, mtu
kusema kuwa mti huu unatibu maradhi fulani ni jambo la kawaida.
Sasa hakuna kitu
kinacho sumbua katika ndoa kama ndoa hiyo haikujaliwa kupatikana mtoto. Familia
nzima huhangaika wakubwa kwa wadogo mpaka na wahusika wenyewe;
mume na mke, huenda kutafuta dawa ya kupata mtoto.
Mtoto akipatikana, akiwa wa kiume huitwa Maganga kwa sababu kapatikana kwa misaada ya dawa, ambazo kilugha
ni buganga. Na kama ni binti huitwa Nyamizi kwa sababu inaaminika kuwa kapatikana kwa
msaada wa mizizi.
Ama mtoto
akizaliwa bila matatizo hupewa jina ama
la babu zake kwa baba au kwa mama. Na mara nyingi huanza kutolewa jina la kwa
upande wa baba na kisha mtoto wa pili hupewa jina la kutoka kwa mama yake.
Kuna hali
kadhaa ambazo huweza kutokea, mathalani, mama anapoteza maisha wakati wa
kujifungua, na kile kichanga kikawa hai,
kitatunzwa kwa namna yo yote ile ili mradi kichanga hicho kipate upevu na kuishi kama vijana wengine.
Lakini jina
lake hutokeza kama dole gumba mkononi,
kama ni wa kiume ataitwa Mlekwa na kama ni wa kike ataitwa Kalekwa . Hilo ni jambo la kawaida.
Na mapacha walipewa majina kuonesha kuwa wao ni Mapacha, hawa
waliweza kupata majina ya aina mbili: wa kwanza ama aliitwa Kulwa au Mtunda na wa pili aliitwa Doto au
Mpasa. Kwa wanaume waliweza kutumia
majina yote mawili lakini wanawake walipewa majina ya Kulwa na Doto.
Hutokea mtoto akazaliwa kwa kutanguliza miguu badala ya
kutanguliza kichwa kama kawaida ya uzazi, basi mtoto huyo huitwa Kashindye.
Na mtoto anayezaliwa baada ya mapacha au kashindye huitwa Muhozya au Sizya maana yake amepoza
mambo au ametuliza mambo. Kwa nini anaitwa jina hilo ambalo maana yake ni
Salama? Ni wazi kabisa kuwa shughuli za
kujifungua ni kazi pevu na hatihati zake
huweza kuleta hata mama kupoteza maisha
au kupata kifafa cha uzazi.
Sasa je mama anapokuwa na hali ya kujifungua
mapacha au Kashindye maisha yake
yanakuwa hatarini zaidi ya yule ambaye anajifungua mtoto mmoja.?!
Kuna watu wanaosema
kuwa hali kama hizo hazipatikani katika makabila mengine isipokuwa kwa Wasukuma
na Wanyamwezi. Wanaendelea kusema kuwa
wakunga wa kwao walikuwa wakiona kuna jambo ambalo si la kawaida humo
ndani basi waliamua vingine..
TANZANIA NA SIASA ZA KUAZIMA
Tanzania ni nchi
ambayo imepata kutembelewa na watu wa aina nyingi kwa karne na karne tangu zama
za Yesu na hata kabla yake.
Historia za nchi hii zinaeleza kuwa kulikuja watu kutoka
Ugiriki na wakafanya mambo mengi kama vile
wanatajwa kina Ptolemy ambaye
alipitia Misri kutoka Ugiriki na wengine wengi.
Zinaelezwa habari
nyingi za hapa kwetu mpaka
zinatajwa habari za Azania au habari za Muuruj, Sofala na Musa bin Beka (Mozambique).
Watu hawa walipokuja huku walileta mambo mengi ama vya
kubebeka na kushikika au vitu ambavyo ni vya ki maana tu. Katika vitu vya
kushikika walileta vitu vingi ikiwa
pamoja na shanga, mvinyo (wine) aina za nguo mbali mbali, bunduki gobole (korofindo)
na hadi leo tuna baiskeli, redio,
kompyuta na hata magari.
Ama kwa upande wa vitu vilivyoingizwa hapa ambavyo havishikiki
mkononi, ni vya kimaana tu ni pamoja na kuathiri utamaduni wa hapa nchi na kuleta mambo mageni ambayo
hayakuweko huko nyuma.
Leo hii tunakuta watu wanakuwa na lugha ambayo hapo kale
ilikuwa sivyo baali imeazima maneno kutoka nje. Na mambo mengine mengi ya kiutamaduni. Bila
shaka watu wakiazima mambo ya kigeni na kuyaingiza katika utamaduni wao basi
fikra hiyo hubadilisha mwenendo wa walio
uzoweya watu na hubadilisha pengine hata
maneno. Na hutokea hata maneno mengine yaliyokuwa yanaendana na uatamaduni
mkongwe kuweza kupotea au kubadilika matumizi.
Hapa jambo kubwa tunaloliona na pengine bila hata watu
kudhania vingine juu yale na wala hawaliangalii asili yake ni mambo ya kisiasa. Siasa kwetu
hivi sasa ambazo tulizo nazo ni siasa
ambazo hazikuwepo hapo kale bali ni utamaduni ulio azimwa kutoka nje ya maeneo
yetu na kama kuna vitu vilivyo bakia katika
asili za siasa za kwetu hapa Tanzania ni kwa uchache sana kama vile mtu akikosea jambo katika jamii basi
hutozwa faini. Neno faini ni neon jipya lakini
adhabau kama hizo zilikuwepo kwa watu wa maeneo ya magharibi walikuwa
wanaita MASUMULE[1].
Siasa zetu zilikuwa chini ya watemi ambao wakoloni wakiwaita
kuwa ni machifu. Lakini kidogo kidogo machifu hao waliondolewa na walikuja watu
wakawa mahali pao. Nadhani tu kuwa chifu alikuwa chini ya Bwana DC, Mkuu wa
Wilaya, lakini DC mara zote katika zama za Mkoloni alikuwa ni mzungu na anakaa
Bomani. Na hilo neno BOMA ni jina la
ufupisho wa maneno ambayo ni British Overseas Management and Administration.
Boma likawa limemeza neno IKULU la watemi.
Neno Ikulu maana yake ni jumba kubwa na kweli majengo ambayo
alikuwa anakaa chifu au Mtemi siyo kibanda kidogo dogo.
Ikulu ilipaswa kuwa jumba kubwa kwa sababu hapo kulipatikana
mambo mengi ikiwa pamoja na :
1.
Hazina
ya mali
2.
Hazina
ya silaha (armory) – licha ya kuwa kila
mwananchi alipaswa kuwa na silaha zake mwenye angalau kwa uchache kisu (mikuki
na upinde na mishale)
3.
Ghala
la chakula ikiwa ni mahali pa kimbilio
pakitokea majanga ama ya njaa au moto au mafuriko na hata vita.
4.
Baraza
la wazee
5.
Mahakama.
Ilikuwa ni jengo ambalo lilikuwa na mambo mengi ya wazi na mambo mengi ya siri. Zaidi ya hapo nyuma ya jengo hilo kulikuwa na ni NGOME ambayo ilikuwa imejengwa kwa makini na kwa uimara na ikiwa na ulinzi wa usiku na mchana na jina lilikuwa ni hilo hilo NGOME na watu wengine wali iita NGOMWA na maana yake ni mahali palipo hifadhiwa.
[1]
Mfano mtu kamvunjia heshima mkwewe, baraza lilikaa na mtuhumiwa akikutwa na hatia basi alipewa adhabu ya kutoa kitu kama vile mbuzi au kuku au
pengine hata mtungi wa pombe na watu wote wanajua kuwa kaadhibia, ikiwa ni onyo
asirudie tena na watu wengine wasilifanye kosa hilo au la namna hiyo.
FeaturesHuman Rights13 June 2016
People
with albinism often face discrimination and ridicule within their own families
and communities.
Nombuso
Cele, a 24-year-old student from Durban, South Africa, tells how growing up
with albinism can be very challenging [Al Jazeera]
By
Nombuso Cele
Albinism
in Malawai
- At least 69 people with albinism have been attacked in Malawi since 2014
- At least 18 people have been killed, and five others abducted since November 2014
- Four were killed in April 2016 alone
Durban, South Africa - Albinism, a congenital disorder in which people lack colour
pigmentation in their skin, hair and eyes, affects about one in every 20,000
people worldwide. It is most common in
sub-Saharan Africa, where there remains great misunderstanding about people
with the condition.
In some parts of southern and
eastern Africa, body parts of those living with albinism are believed to hold magic powers, and so they are hunted and killed by "albino
hunters".
In 2016, there have been attacks in Tanzania, Burundi and Malawi. But even when they
are not hunted, people with albinism often face discrimination and ridicule
within their own families and communities.
Here Nombuso Cele, a 24-year-old
financial management student from Durban, South Africa, describes the
challenges that people with albinism endure in their day-to-day life
'Myths
about albinos need to end'
As much as some family members
accepted me from birth, it took my parents some time to truly accept me. It
affected me because I needed them at that time, and I didn't have their
support.
But I couldn't blame them because
they didn't understand what was going on with me. I have experienced a lot of
discrimination from our society and people who are uninformed about albinism.
When I was in primary school, other
kids stayed away from me because I was different from them and it affected my
self-esteem. I was called different names; some would call me "white
spooky", and others would always tease me and call me ugly.
I myself didn't understand what and
who I was until, one day, a girl from my class reached out to me.
She asked me why I was casting
myself aside from other kids, and I had to explain to her that it was because I
was different.
She was so young, and I was amazed
with her mindset. She told me that people will always talk no matter what, but
it's up to me to change their perception of me.
In high school, I started gaining
more confidence and claimed my position and my right to be part of the
so-called "normal" society.
Since then, I have always had
confidence and have not let anyone treat me as though I were different from the
rest of the people.
People have a crazy idea that
albinos are not human enough to be part of society
People need to accept us for who we
are, and if that means I have to associate myself with them and exist in the same
space as them, then so be it.
I have had challenges at school with
my eyes, but that did not stop me from following my dreams. I have friends who
have been helpful throughout the past two years of my studies, and I am very
grateful for having such people.
I have had my fair share of
challenges and faced a lot of discrimination, but I chose not to let
that determine who I am.
It's funny how dark-skinned people
think they are better than albinos, but we are all black. I have come across
people who would make derogatory remarks when they see me, especially old men
who would refer to me as isishawa (cursed).
Sometimes I laugh and brush it off
because I understand where they come from: They were born during an era where
there was no information about albinism.
But when young people make
derogatory remarks, it really frustrates me because it shows how ignorant we as
the youth can be.
Within the university - Durban
University of Technology - there are people who still look at me with
resentment. That alone shows how uninformed and socially illiterate young
people can be. I am OK with the fact that our university doesn't have any
organization specifically for people with albinism because we are well informed
about it.
It is the society that needs to be
informed, and the organizations advocating for people living with albinism
should take a different approach when raising awareness.
Instead of mobilising each other,
they should involve the society and provide necessary information to them.
I am very grateful that my mother
did not take me to the special schools that accommodate those living with
disabilities. As much as the government declares albinism to be a disability, I
don't allow myself to be treated as a disabled person because I am able in
every way.
Myths about albinos need to end.
Men need to understand that albinos
are human too, and [not believe] the myth that having sex with a person with
albinism will cure HIV and Aids.
People need to stop being gullible
and ridiculous. We have the same blood; it is just the skin pigmentation that
is different.
Many people are brainwashed and
believe that those with albinism have a certain magic. Yes, we are special, and
there is something special about us. That doesn't make us animals to be preyed
upon and brutally killed.
We should not be made to feel
self-conscious about who we are because that's how isolation begins. I am
impressed by the fact that our government has begun considering us for
employment opportunities because we are just as capable as others, regardless of
our condition.
As told to Khadija Patel and Lizeka
Maduna.
WANAFANYA KAMPENI ZA KUREJESHA NGOZI BAADA YA JANDO
.Wanaume waliotahiriwa wanaweza kupata
fursa ya kurejesha ngozi zao tena!
Kampuni moja
la Kimarekani limesimama kidedea katika kampeni
za kuwarejesha watu waliokwenda jando waingie tena katika usungo
mara ya pili kama hawaridhiki na hali yao mpya ya tohara baada ya kwenda jando.
Makundi kadhaa ya madaktari
wamekuwa wakilalamika dhidi ya
oparesheni ya tohara kwa wanaume ambapo ngozi inayo funika kichwa cha dhakari/zunga[1] huondolewa na mtu
akawa ametoharika.
Neno tohara ni hali ya mtu kapata usafi. Inaaminika kuwa zunga
akiwa nalo mtu huweka uchafu unaotoka ama kwa jasho na ama kwa mambo mengine kama
mabaki ya mkojo uchafu huo huitwa utoko. Hali ambayo kwa wafuasi wa dini za
Kiislamu na Kiyahudi haikubaliki na suluhisho lake jando.
Kuna tafiti nyingi zinazoonesha kuwa wale walio na tohara si
rahisi kwao kupata maradhi kama vile virusi vya papilooma na kansa ya dhakari
pamoja na kansa ya kwenye mji wa mimba
kwa sababu wanawake wanapata maambukizo hayo kutoka kwa wanaume.
Na kampeni zinaendelea ulimwenguni zikihamasishwa wanaume kufanya
tohara ikiaminika kuwa jando humweka mwanaume kuwa salama na maradhi ya
ngono hasa zililizo zembe. Utafiti uliochukua muda mrefu umeonesha kuwa wanaume
walio tahiriwa si rahisi kwao kupata maradhi ya ngono ikiwa pamoja na Ukimwi nawakati
ni jambo rahisi sana kwa wasungo.
Huko Marekani watu wamepiga hatua kubwa zaidi ya kujipanga katika kikundi kiitwacho Foregen ili kuwasaidia walio na tohara kurejea katika usungo wao wa
kale. Foregen ni kikundi ambacho
kinasimamia na kusaidia utafiti ili
madaktari waweze kuwa wanawerejeshea mazunga wale walio tahiriwa. Habari zao
zinaeleza kuwa watafiti wamejaribu kuwarejeshea mazunga wanyama kama vile
ng’ombe na punda.
Na hivi sasa kampeni imetandaa huko Marekani kwa jina la Kickstarter
kwa ajili ya kurejesha mazunga na kutetea watu wasiende jandoni.Na wanasema
kuwa ngozi hizo kwa uangalifu zitaota na zitakuwa na hisia kama ngozi ya
mwanadamu ya kawaida. Wataalamu wa fiziologia, kwa kuliona hilo kuwa ni kazi
bure wanasema kuwa kichwa cha dhakari kina mrundikano wa neva na hivyo hisia za
hisia hizo zinabaki pale pale zunga liwepo au lisiwepo.
Kwa takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) , asilimia 30 ya
wanaume duniani wana tohara. Kwa Tanzania maeneo ambayo watu wanaume hufanya
tohara ni mikoa ya kati na mikoa ya Kaskazini na sehemu ndogo ya wakazi wa mkoa
wa Mara.
Kampeni ya tohara nchini imepamba moto katika mikoa ya Nyanda za Juu
Kusini na Mikoa ya Kanda ya Ziwa Viktoria.
[1]
Neno zunga lina maana sawa na govi, lakini zunga angalau linaonekana kuwa ni
neno lenye utulivu.
Jando
la Marekani lang’oa Nyeti zote za Jamaa
Katika
harakati za kutaka kujiweka hajapitwa na wakati mtu mmoja, Johnny Lee Banks Jr,
mwenye umri wa miaka 56 ambaye ni mkazi wa Birmingham, Alabama, Marekani
amepeleka malalamiko mahakamani kuwa amekatwa uume wake badala ya kutahiriwa.
Madaktari
wa Princeton Baptist Medical Center ya
Mjini Birmingham wanasema kuwa madai yake hayana mashiko na madai yake si ya sahihi.
Hali
za maoni kuhusu mambo ya upasuaji ni
kuwa iwe upasuaji mkubwa au ndogo, kuna
vitu ambavyo vinaweza kutokea na kuleta madhara kwa mtu anayefanyiwa upasuaji.
Hayo pia hutokea hata kwa hali ya kutahiri.
Kwa
mujibu wa mtandao wa NHS, matatizo ya kutahiri yapo ingawa ni machache sana ikiwa
pamoja na kutokwa damu sana na “kupungua kwa hisia kwenye dhakari hasa wakati
wa tendo la ndoa.
Hata
hivyo wataalamu wa miili -fiziologia –
wanasema kuwa jando halipunguzi ashiki hizo kwa sababu kichwa cha dhakari kina
neva nyingi” na siyo kuwa lile gamba la ngozi nalo lina leta ashiki.
Kampeni
ya kuhamasisha waanaume kutahiri
imepamba moto nchini Tanzania katika maeneo ya Nyanda za Juu Kusini na maeneo
ya Ziwa Viktoria.
Gazeti
la Birmingham News, wakili anaye wawakilisha madakatari wawili waliomfanyia
upasuaji Bwana Blacks anasema kuwa madai yake hayana mashiko. Lakini kama kesi
hiyo itafikia kilele cha madaktari
kukutwa na hatia haijulikani kutakuwa nini.
Mkoani
Tabora, miaka zaidi ya 60 iliyopita, kulitokea kesi kama hiyo wilayani Sikonge,
maeneo kati ya Tutuo na Igigwa, ambako bwana mmoja alimwambia ngariba wakiwa
katika kilabu cha pombe, kuwa alikuwa anawachezea watoto wadogo siyo watu
wazima wenye heshima zao kama yeye. Yule ngariba alichemka na kumpiga mwereka yule
mtu mbishi na vijana wa ngariba wakamdhibiti miguu yake na ngariba akafanya
kazi yake pale pale.
Kesi
hiyo ilipofika kwa bwana shauri mjini Tabora, ngariba alikutwa na hatia ya
kupigana hadharani na kumjeruhi mwenziwe kwenye nyeti zake. Ngariba alifungwa
miezi mitatu.
Kampeni
za kutahiri kwa watu wazima zimepamba moto baada ya kuonekana kuwa wasio
tahiriwa wanaishi katikia mazingira hatarishi kwa ukimwi. Kauli hiyo imeenea
ulimwenguni kote kuwa nchini Kenya watu walio sehemu ambako wanatabia ya kutahiri wanakumbwa na ukimwi kama sehemu ambako
wanajiachia bila tohara.
Kwa
mipangilio ya imani za kidini, wafuasi wa dini ya Kiislamu na Mayahudi ndio
sehemu ya imani yao kutahiiriwa.
Kwa
mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO)
asilimia mia 30 ya wakazi wa duniani wametahiriwa.
Chicago Researchers find why uncircumcised men have more HIV
A new study conducted by Chicago
researchers shows that internal mucosal layers of foreskin are more susceptible
to HIV infection than cervical tissue or the external layers of foreskin, which
explains why uncircumcised men seem to be at much higher risk for HIV
acquisition than men who are circumcised.
Previously, numerous studies
reported that uncircumcised men have higher rates of HIV infection and are at a
twofold to eightfold increased risk of becoming infected with HIV compared to
circumcised men. However, why circumcision plays a protective role against
acquisition of HIV has been unknown.
A study published in the September
issue of the American Journal of Pathology by researchers at Rush-Presbyterian-St.
Luke’s Medical Center, Children’s Memorial Hospital and the University of
Illinois at Chicago School of Public Health points to the biological mechanisms
underlying this protective effect.
The researchers examined foreskin
tissue obtained from eight children and six adults who were undergoing
circumcision for other reasons. Those tissues were compared with cervical
tissue, which served as controls. The analysis showed that foreskin mucosa
(cells underneath the surface) contain high concentrations of the cells
targeted by HIV. The foreskin tissue contained higher densities of CD4+ T
cells, macropahges and Langerhans’ Cells (LC) in adults than in children or in
cervical tissue. The highest proportion of these HIV target cells were found in
men with a history of infection, which is consistent with studies finding that
men with sexually transmitted infections are more susceptible to HIV.
According to Alan Landay, PhD,
department of Immunology/Microbiology and at Rush-Presbyterian-St. Luke’s Medical
Center, the higher the concentration of HIV target cells, the more susceptible
the tissue is to HIV. This proved to be the case. When the authors introduced
HIV to the tissue in culture, the cells in the foreskin tissues were
infiltrated with HIV rapidly and at much greater intensity than the cervical
tissue.
According to the first author, Bruce
Patterson, M.D, viral pathologist in the division of Infectious Diseases at
Children’s Memorial Hospital, there are logical, but as yet unproven theories
explaining how HIV infection occurs in the circumcised penis. "Infection
may occur through the urethral mucosa or through disruptions of the penile
shaft epithelia caused by genital ulcer disease or trauma," he said. In
uncircumcised men, Patterson said that the thin keratin layer they found on the
inner compared to the outer mucosal surface predisposed the foreskin to
infection.
The authors mention that a
limitation of the study is that they were unable to obtain tissue from
circumcised penises for comparison.
However, the study’s senior author,
Robert Bailey, PhD, MPH, from the Division of Epidemiology, School of Public
Health at the University of Illinois at Chicago, is conducting a study in east
Africa that will address this issue. Bailey and his collaborators have begun a
randomized controlled trial to compare HIV acquisition in 1,400 African males
age 18-24 who will be circumcised with 1,400 in the same city who are not
circumcised. Bailey’s team will take two years to recruit all the young men and
will follow each group for two years, providing them with HIV prevention
counseling and free medical treatment. After four years of study, they will be
able to determine if circumcision reduced the men’s chances of becoming HIV
infected.
Landay said that the implications of
this foreskin tissue evaluation and the positive association between
uncircumcisized individuals and HIV acquisition indicate that strong
consideration should be given to integrating male circumcision information and
services with other HIV preventive methods.
Male circumcision protects against HIV infection
Uncircumcised men are at a much
greater risk of becoming infected with HIV than circumcised men, according to
new evidence in published in the British Medical Journal in June 2000.
Using information from over 40
previous studies, researchers in Australia suggest that the virus targets
specific cells found on the inner surface of the foreskin. These cells possess
HIV receptors, making this area particularly susceptible to infection. The researchers
propose that male circumcision provides significant protection against HIV
infection by removing most of the receptors.
The most dramatic evidence of this
protective effect comes from a new study of couples in Uganda, where each woman
was HIV positive and her male partner was not. Over a period of 30 months, no
new infections occurred among 50 circumcised men, whereas 40 of 137
uncircumcised men became infected - even though all couples were given advice
about preventing infection and free condoms were available to them.
Although cultural and religious
attitudes towards male circumcision are deeply divided, the authors conclude
that, in the light of the evidence, male circumcision should be seriously
considered as an additional means of preventing HIV in countries with a high
level of infection. Alternatively, say the authors, the development of
'chemical condoms' ' products which can block HIV receptors in the penis and
the vagina ' might provide a more acceptable form of HIV prevention in the
future.
Other Articles of interest:
- Acceptability of
male circumcision as a tool for preventing HIV infection in a highly
infected community in South Africa.
Lagarde E, Dirk T, Puren A, Reathe RT, Bertran A, AIDS 2003 Jan 3;17(1):89-95 - Circumcision and STD
in the United States: cross sectional and cohort analyses
Diseker RA, Peterman TA, Kamb ML, Kent C, Zenilman JM, Douglas JM, Rhodes F, Iatesta M, Sex Transm Infect 2000 Dec;76(6):474-9 - Male Circumcision
and Risk of HIV Infection in Sub-Saharan Africa: a Systematic Review and
Meta-Analysis"
H.A. Weiss, M.A. Quigley and R.J. Hayes - Dynamics of Male
Circumcision Practices in Northwest Tanzania
Soori Nnko, Robert Wahsija, Mark Urassa, J.Ties Boerma, Sex. Trans. Dis. 2001;28:214-218. - Vitamin A and risk
of HIV-1 seroconversion among Kenyan men with genital ulcers
MacDonald KS, Malonza I, Chen DK, Nagelkerke NJ, Nasio JM, Ndinya- Achola J, Bwayo JJ, Sitar DS, Aoki FY, Plummer FA, AIDS 2001 Mar 30;15(5):635-63. - How does male
circumcision protect against HIV infection?
R. Szabo and R.V. Short, BMJ 2000; 320:1592-4. - Male circumcision and
HIV infection: 10 years and counting,
D.T. Halperin and R.C. Bailey, Lancet 1999; 354:1813-5. - Controversy Over
Male Circumcision and HIV Transmission in Developing World
Ronald Baker, PhD
Other Excerpts:
Sexual Transmission Of
HIV
Royce FA, Sena A, Cates W Jr., Cohen MS New England Journal Of Medicine 1997: 336(15); 1072-1078
Royce FA, Sena A, Cates W Jr., Cohen MS New England Journal Of Medicine 1997: 336(15); 1072-1078
"Male circumcision consistently
shows a protective effect against HIV infection. This may be due to the
abundance of Langerhans' cells in the foreskin or to a receptive environment
for HIV in the sulcus between the foreskin and the glans. The prevalence of HIV
infection is 1.7 to 8.2 times as high in men with foreskins as in circumcised
men, and the incidence of infection is 8 times as high. A greater proportion of
sex partners of uncircumcised men than of circumcised men are infected with
HIV, which suggests that the presence of the foreskin may also increase
infectiousness."
Circumcision Protects
Against HIV Infection Westport, Jan
28, 1997 (Reuters): AIDS 1997: 11; 73-80
Male circumcision appears to have
protective effect against HIV infection, according to the Tanzania-Netherlands
Project to Support AIDS Control in Mwanza region (TANESA).
After controlling for confounding variables," Dr. Marc Urassa found a "...modest but significant reduction of the HIV prevalence among circumcised men."
After controlling for confounding variables," Dr. Marc Urassa found a "...modest but significant reduction of the HIV prevalence among circumcised men."
Evidence That
Circumcision Reduces Susceptibility To HIV Infection Called Substantial Westport, Jul 11, 1996 (Reuters)
There is now a "...substantial
body of evidence..."that male circumcision lowers susceptibility to HIV
infection, Dr.Stephen Moses told conference participants at the XI
International Conference on AIDS Wednesday.
Dr.Moses concluded that the fact that male circumcision reduces susceptibility to HIV infection "...may explain part of the wide geographic and population-level variability in observed HIV
transmission."
Dr.Moses concluded that the fact that male circumcision reduces susceptibility to HIV infection "...may explain part of the wide geographic and population-level variability in observed HIV
transmission."
The African AIDS Epidemic
John C. Caldwell and Pat Caldwell
Scientific American 1996: 273(3); 62-68
Scientific American 1996: 273(3); 62-68
Health Transition Center of the
National Center for Epidemiology and Population Health at the Australian
National University in Canberra.
"Over the past three years, however, we have examined the methodology of the papers as well as the anthropology sources and determined that the findings are sound. Also, in continuing investigation we have found very little support for the charge that circumcision data are no longer relevant. The link between the lack of circumcision and elevated levels of HIV infection appears robust.
In some parts of the AIDS belt, nearly all men are uncircumcised - a situation unlike almost anywhere else in Africa. Thus we conclude that in the AIDS belt, lack of male circumcision in combination with risky sexual behavior, such as having multiple sex partners, engaging in sex with prostitutes and leaving chancroid untreated, has led to rampant HIV transmission".
"Over the past three years, however, we have examined the methodology of the papers as well as the anthropology sources and determined that the findings are sound. Also, in continuing investigation we have found very little support for the charge that circumcision data are no longer relevant. The link between the lack of circumcision and elevated levels of HIV infection appears robust.
In some parts of the AIDS belt, nearly all men are uncircumcised - a situation unlike almost anywhere else in Africa. Thus we conclude that in the AIDS belt, lack of male circumcision in combination with risky sexual behavior, such as having multiple sex partners, engaging in sex with prostitutes and leaving chancroid untreated, has led to rampant HIV transmission".
Circumcision and sexually
transmitted diseases
L.S. Cook, L.A. Koutsky, K.K. Holmes
Am J Public Health 1994: 8(2); 197-201
Am J Public Health 1994: 8(2); 197-201
OBJECTIVES. New evidence linking
lack of circumcision with sexually transmitted human immunodeficiency virus
revives concerns about circumcision and other sexually transmitted diseases.
This study was undertaken to assess the relationship between circumcision and
syphilis, gonorrhea, chlamydial infection, genital herpes, nongonococcal
urethritis, and exophytic genital warts. METHODS. A cross-sectional study of
2776 heterosexual men attending a sexually transmitted disease clinic in 1988
was used to investigate the relationship between circumcision and sexually
transmitted diseases. Subjects with specific sexually transmitted diseases and
those without such diseases were compared after adjustment for age, race, zip
code of residence, other sexually transmitted diseases, and number of sexual
partners. RESULTS. A positive relationship was observed between uncircumcised
status and both syphilis and gonorrhea. A negative relationship was found
between warts and lack of circumcision. No apparent relationship was noted
between uncircumcised status and genital herpes, chlamydial infection, or
nongonococcal urethritis. CONCLUSIONS. Uncircumcised men were more likely than
circumcised men to have syphilis and gonorrhea and were less likely to have
visible warts.
Genitourinary Manifestation of AIDS
Staiman VR, Delbert JK, Lowe FC Infections Urology 1996: 9(3); 73-78,92
"An uncircumcised male has
twice the risk of being infected that a circumcised male has. Because the
foreskin is associated with high concentrations of macrophages and lymphocytes,
these cells are targets for HIV virus. The foreskin also provides a protected
environment and a larger surface area for prolonged exposure between the
genital epithelium and infected genital secretions. Also, the uncircumcised
penis does not have a thick stratum corneum layer of the glans, which develops
after circumcision, this layer protects against abrasions. Finally, the
uncircumcised male has an increased risk of acquiring other sexually transmitted
diseases that
can increase the likelihood for HIV transmission."
can increase the likelihood for HIV transmission."
Male Circumcision And Susceptibility To HIV infection Among Men In Tanzania
Urassa M, Todd J, Boerma
JT, Hayes R, Isingo R AIDS
1997: 11(3); 73-80
"Male circumcision has a
protective effect against HIV infection in this population, which may be
stronger in urban areas and roadside settlements than in rural areas. Ethnic
group and religious denomination are no longer the sole determinants of male
circumcision."
- Kapiga SH, Lyamuya EF, Lwihula GK, Hunter DJ The Incidence Of HIV Infection Among Women Using Family Planning Methods In Dar es Salaam Tanzania AIDS 1998: 12(1); 75-84
- Plummer FA Heterosexual Transmission Of Human Immunodeficiency Virus Type 1 (HIV): Interactions Of Conventional Sexually Transmitted Diseases, Hormonal Contraception And HIV-1 AIDS Res Hum Retroviruses 1998: 14 Suppl 1; S5-S10
- Kelly R, Kiwanuka N et al. Age of Male Circumcision and Risk of Prevalent HIV Infection in Rural Uganda AIDS 1998: 14(3); 399-405.
- Seed J, Allen S, Mertens T, Hudes E, Serufilira A, Carael M, Karita E, Van de Perre P, Nsengumuremyi F Male Circumcision, Sexually Transmitted Disease, And Risk Of HIV J Acquir Immune Defic Syndr Hum Retrovirol 1995: 8(1); 83-90
- Weiss GN, Sanders M and Westbrook KC The Distribution and Density of Langerhans Cells in the Human Prepuce: Site of a Diminished Immune Response? Israel Journal of Medical Sciences 1993: 29(1); 42-43
- Moses S, Plummer FA, Bradely JE, Ndinya-Achola JO, Nagelkerke NJ, Ronald AR The Association Between Lack Of Male Circumcision And Risk For HIV Infection: A Review Of The Epidemiological Data Sex Transm Dis 1994: 21(4); 201-210
- Moses S, Bradley JE, Nagelkerke NJ et al. Geographical patterns of male circumcision practices in Africa: association with HIV seroprevalence Int J Epidemiol 1990: 19(3); 693-7
- Hunter DJ, Maggwa BN, Mati JK, Tukei PM, Mbugua S Sexual Behavior, Sexual Transmitted Disease, Male Circumcision, And Risk Of Infection Among Women In Nairobi, Kenya AIDS 1994: 8(1): 93-99
- Parker SW, Stewart AJ, Wren MN, Gollow MM, Straton JA Circumcision And Sexually Transmissible Disease Med J Aust 1983: 17;2(6); 288-290
- Cook LS, Koutsky LA, Holmes KK Circumcision And Sexually Transmitted Diseases Am J Public Health 1994: 84(2); 197-201
- Hellmann NS, Grant RM, Nsubuga PS, Walker CK, Kamya M, Tager IB, Jacobs B, Mbidde EK Modifiers Of The Protective Effect Of Circumcision Int Conf AIDS 1992 Jul 19-24 8(2):C294 (abstract no. PoC 4299)
- Nasio JM, Nagelkerke NJ, Mwatha A, Moses S, Ndinya-Achola JO, Plummer FA Genital ulcer disease among STD clinic attenders in Nairobi: association wiht HIV-1 and circumcision status Int J STD AIDS 1996: 7(6); 410-414
Politics as a Culture in Tanzania
Cheupe Nyati,
In the 2020 elections, a Protestant to become president of Tanzania!?
Tanzanian after being politically
released from colonial powers for more than 50 years has developed what seems
to be a trend of “political culture” whereas after a Christian president then
comes in a Muslim president.
That is simply seen so after
Mwalim Julius Nyerere (a Catholic) who was in power from 1962 to 1985. The
pattern was not laid down, only after a little skirmish with a Muslim Seleman
Takadiri over the 12 scholarships which Nyerere did not make a 50-50 allocation
but allotted two third of them to Christians
and one third to Muslims in spite of being together in the fight for
Uhuru, Takadiri argued.
Then Ali Hassan Mwinyi ( a Muslim) came in after
Nyerere from 1985 to 1995, to be followed by Benjamin William Mkapa (a
Catholic) from 1995 to 2005.
In the new century, after Mkapa
there came Jakaya Mrisho Kikwete (a Muslim) who was president from 2005 to 2015
to be recently succeeded by John Pombe Mgufuli (a Catholic1?) who is expected
to stay through this first term up to 2020 and is hoped to sail through to 2015 depending on the
conditions at the time.
The question above comes
immediately after the Presidential
elections of Tanzania in the year 2015 when the two bulls locked their horns in
the fight to enter the Ikulu of
Tanzania, namely John Pombe Magufuli and Edward Lowassa (a Lutheran). Lowassa
is a Christian from the Protestant group of Churches in Tanzania while Magufuli
is apparently a Catholic.
Before the CCM nominations of
presidential candidate very few people ever thought of Magufuli, and more than
50 percent from the party members showed their open support to Lowassa. Had Lowassa
become candidate of CCM then, then the lock of horns would have been between
Lowassa and Dr. Wilbrod Slaa of CHADEMA (a Catholic) and the shift of power
would apparently have gone to CHADEMA in support of Slaa who was supposed to run
on CHADEMA card.
Entry of Lowassa to CHADEMA which
caused the exit of Slaa cut off the Catholic horns of the party which is
predominantly Protestant. That is, the Church in Tanzania was split into two
sections: Catholic and Protestant, and the two sections became locked into a
power race to Ikulu. Unfortunately, the party tooter seemed to be not in need
of Muslim votes when it was announced that with Lowassa at Ikulu all the
mosques shall be Sunday schools.
The result was as what is, that
the Catholic Church, which has predominant support from the South of the country
re-entered Ikulu and the Protestants after a hard fight were left at the gates
of the Ikulu. They yet have to try again, and now CHADEMA is lining its forces,
the 2020 race to Ikulu seems to have already started.
While Dr. Slaa seems to have
retired from politics, new comers to CHADEMA seem to have reached home, among
them Fredrick Sumaye, who is not retired from politics is a vigorous looming
head in this predominantly northern party with its helms in Chagga hands.
How would the scene be had
Lowassa from the north, a non Catholic
run in the race with a CCM card and Slaa from the North a Catholic in the race
with a CHADEMA card in a race to Ikulu? That would have been a good scene. But
now let us wait for the next race which seems shall involve the same two northern powers one for Catholic and another for
Protestants.
TANZANIA SHALL ALWAYS BE KEPT BEHIND THE CURTAIN
Dar es Salaam
There are reports from Arab world
that Sisal that comes from Tanzania is brown and poor quality that from other
East African Countries is white and good for gypsum reinforcement and highly
marketable.
This was among trade reports in
which a trade delegation came to East Africa looking for venture in the
purchase and agricultural development of sisal in the zone. The delegation could
not turn up in Dar es Salaam after being waited for almost a week.
The delegations report after the
visit to East Africa went to say that they were discouraged with the quality of
Tanzanian sisal as they were shown in one of the capitals of the East African
countries a “poor sample quality sisal which was kinked and dark turning to
yellowish” compared to the white glimmering sisal.
The delegation which came down to
East Africa looking for tonnes and tonnes of shaar-gipsie (white hair) could only get two containers of sisal,
returning home with that little they got from East Africa.
Tanzania has thousands of sisal
farms running as estates and not background sisal gardens. The country has a
sisal promotion organization Tanzania Sisal Board. Tanzania has always been a leading
African sisal producer despite the recent promotions of chemical twines.
In the race to attract world
trade, there have been intrigues in the zone each area trying to catch its
quota in various areas, including tourism, minerals sales like Tanzanite and
Cashew nuts production and sales. The last two items are exclusively produced
in Tanzania especially nugget. Tanzanite can never come from anywhere not even
in the neighbouring countries.
Recently, two children from the
USA were coming to visit their kins in Tanzania and on transit, as they were
all American, language and other touches, somebody tried to dissuade them and
cut short their safari to Dar es Salaam. “That area has no real tourist
attraction Tanzania has no National parks no good hotels and poor
transportation facilities. And the top of Africa, Kilimanjaro is not there but
in another country.” The children said they were not tourists, they were going
to visit grandpa in Shinyanga.
Arab Migrants making entry into Germany, on 22 October
2015
|
asante sana hii ni elimu kubwa sana kwa watu siotaka kutahiriwa
ReplyDelete