Hali ya chama cha wananchi (CUF) kuwa katika hali
isiyoeleweka kunatia wasi wasi juu ya
uimara wa chama hicho kikiwa kama miongoni mwa vyama Vya upinzania vyenye nguvu
nchini Tanzania.
Monday, September 5, 2016
HABARI ZA HIJJA
Wizara ya habari za Dini nchin Saudia imetangaza kuwa kwa kuwa Tarehe
Mosi Septemba Ndiyo siku iliyokuwa inategemea kuonekna mwezi
mchanga imetokea kukamatwa kwa jua na
mwezi, itakuwa viguimu sana kuonekan mwezi. Na Hivyo siku ya kuanza kuhesabu kuwa ni ya kwanza Dhil Hija Au Mfungo Tatu ni
hapo Jumamosi. Hivyo Jumamosi (sept3) Ndiyo itakuwa Tarehe Mosiya Mfungo Tatu na Kisimamo cha Arafa
kutakuwa Tarehe 11- Jumapili na Eid kuwa Jumatatu – Inshallah. Hilo ni tangazo
la waziri wa mambo ya Dini Septemba 1/
sawa na Dhul Qaadah 29.
KUKAMATWA KWA JUA
Dar es salaam
Septemba Mosi ni siku ambayo kwa jiji la Dar es Salaam,
licha ya hali ya hewa kuwa na mawingu, maelfu ya watu walishuhudia kupatwa kwa
juwa na hali kuwa kama vile jua japo
lipo lakini halina nguvu wala mwanga wake hauna nguvu kama.
Subscribe to:
Posts (Atom)