HABARI ZA HIJJA
Wizara ya habari za Dini nchin Saudia imetangaza kuwa kwa kuwa Tarehe
Mosi Septemba Ndiyo siku iliyokuwa inategemea kuonekna mwezi
mchanga imetokea kukamatwa kwa jua na
mwezi, itakuwa viguimu sana kuonekan mwezi. Na Hivyo siku ya kuanza kuhesabu kuwa ni ya kwanza Dhil Hija Au Mfungo Tatu ni
hapo Jumamosi. Hivyo Jumamosi (sept3) Ndiyo itakuwa Tarehe Mosiya Mfungo Tatu na Kisimamo cha Arafa
kutakuwa Tarehe 11- Jumapili na Eid kuwa Jumatatu – Inshallah. Hilo ni tangazo
la waziri wa mambo ya Dini Septemba 1/
sawa na Dhul Qaadah 29.
No comments:
Post a Comment