MAALIM SEFU NA PROFESA LIPUMBA (WOTE WALIMU KWA KIARABU NA KIFARANSA)
Hali ya chama cha wananchi (CUF) kuwa katika hali
isiyoeleweka kunatiawasi wasi juu ya
uimara wa chama hicho kikiwa kama miongoni mwa vyama Vya upinzania vyenye nguvu
nchini Tanzania.
Wizara ya habari za Dini nchin Saudia imetangaza kuwa kwa kuwa Tarehe
Mosi Septemba Ndiyo siku iliyokuwa inategemea kuonekna mwezi
mchanga imetokea kukamatwa kwa jua na
mwezi, itakuwa viguimu sana kuonekan mwezi. Na Hivyo siku ya kuanza kuhesabu kuwa ni ya kwanza Dhil Hija Au Mfungo Tatu ni
hapo Jumamosi. Hivyo Jumamosi (sept3) Ndiyo itakuwa Tarehe Mosiya Mfungo Tatu na Kisimamo cha Arafa
kutakuwa Tarehe 11- Jumapili na Eid kuwa Jumatatu – Inshallah. Hilo ni tangazo
la waziri wa mambo ya Dini Septemba 1/
sawa na Dhul Qaadah 29.
Septemba Mosi ni siku ambayo kwa jiji la Dar es Salaam,
licha ya hali ya hewa kuwa na mawingu, maelfu ya watu walishuhudia kupatwa kwa
juwa na hali kuwa kama vilejua japo
lipo lakini halina nguvu wala mwanga wake hauna nguvu kama.
Of all the wonderful
setups found at the 19th International Trade
Exhibition to East Africa held in Dar es salaam last week, it was the national
centre for marketing and price study of
the Republic of Belarus.
MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA KWA A. MASHARIKI
Na Mjomba Remsi
Dar Es Salaam, 14 July 2016
Maonesho ya Biashara ya Kimatifa – International Trade Exhibition
yaliyodumu kwa siku mbili yamefikia ukomo leo, baada yawashiriki wa kimataifa kuonesha bidhaa zao na
vifaa vyao wakiwa wamelenga nchi tano (5) za Afrika ya Mashariki.